Seba Maganga atoa tuzo Chomoza Gospel Music AWARD

Mkuu wa Maudhui Clouds Media Group, Sebastian Maganga amekuwa mmoja kati ya wageni waalikwa katika tuzo za nyimbo za Injili (Chomoza Gospel Music Awards) ambapo amemkabidhi tuzo Mtayarishaji Wa Muziki wa Injili, Fredick, Tuzo ya Mtayarishaji Bora wa Muziki wa Injili.

Tuzo hizi ambazo zimeandaliwa na kipindi cha Chomoza cha Clouds Tv zinatolewa leo Jumapili Desemba 15, 2019 katika ukumbi wa Millenium Tower, Kijitonyama, jijini Dar es Salaam.

Leave a comment