Alikiba afunguka kuoa mke wa pili.

Kupitia kipindi cha Leo Tena cha Clouds FM, siku ya Ijumaa, Desemba 13, 2019, Staa wa Bongo Fleva, AliKiba alizungumza kuhusu kuongeza mke wa pili.

Amezungumza baada ya kuulizwa na Mtangazaji wa kipindi hicho, Husna Abdul, kama kuna uwezekano wa yeye kuoa mke wa pili. Tazama video uone alivyojibu.

Leave a comment