STEREO AWACHANA ROSTAM

Msanii wa muziki wa Hip Hop, Duke Gervalius ‘Stereo’ amewachana wasanii wa muziki huo kutoka kundi la Rostam, Roma na Stamina na kuwaambia kuwa waache kuogopa na kutuma watu ili wawatukane kwenye nyimbo kwani huo ni udhaifu.

Ameyazungumza hayo kupitia kipindi cha Social Buzz cha Clouds TV,

Tazama VIDEO hapo juu.

Leave a comment