Baba Levo hatoisahau Jela

Written by on December 13, 2019

Msanii wa Bongo Fleva, na diwani wa Kata ya Mwanga Kaskazini (ACT- WAZALENDO), Clayton Revocatus ‘Baba Levo’ amefunguka kitu ambacho hawezi kukisahau katika maisha yake katika kipindi chote alichokuwa akitumikia kifungo gerezani mkoani Kigoma.

Baba Levo alihukumiwa kifungo cha miezi mitano jela baada ya kutiwa hatiani kwa kosa la kumshambulia askari wa kikosi cha usalama barabarani. Tazama akizungumza kitu ambacho hatokisahau alipokuwa gerezani.

 

Reader's opinions

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *Current track

Title

Artist

Background