Burudani

Harmonize afunika Shinyanga

Staa wa Bongo Fleva, Rajab Abdul Kahali "Harmonize" amewashukuru mashabiki wake wa mjini Shinyanga waliojitokeza kwa wingi kwenye shoo yake iliyofanyika Jumamosi iliyopita Desemba 14, 2019 kwenye uwanja wa Kambarage. Msikilize HARMONIZE akiizungumzia shoo yake mapema leo Jumatatu Desemba 16,…