Uncategorized

Page: 3

Baada ya maswali kuwa mengi juu ya kinachoendelea kumuweka msanii wa Bongo Fleva, Ibrahim Musa, ‘ROMA’ nchini Marekani ikiwa kuna stori za chini chini zikidai kuwa huenda wimbo wake wa ‘Anaitwa Roma’ kuwa sababu ya yeye kujichimbia huko, hatimae Roma amefunguka. Amefunguka kupitia kipindi cha Clouds Fm Top 20 cha Clouds FM kilichoruka siku ya jana […]

Mkuu wa Maudhui Clouds Media Group, Sebastian Maganga amekuwa mmoja kati ya wageni waalikwa katika tuzo za nyimbo za Injili (Chomoza Gospel Music Awards) ambapo amemkabidhi tuzo Mtayarishaji Wa Muziki wa Injili, Fredick, Tuzo ya Mtayarishaji Bora wa Muziki wa Injili. Tuzo hizi ambazo zimeandaliwa na kipindi cha Chomoza cha Clouds Tv zinatolewa leo Jumapili […]

Kutoka kwenye ukumbi wa Millenium Tower, Kijitonyama, jijini Dar es Salaam, leo Jumapili, Desemba 15, 2019 zinatolewa Tuzo za Muziki wa Injili (CHOMOZA GOSPEL MUSIC AWARD) Tuzo hizi zimeandaliwa na kipindi cha Chomoza cha Clouds Tv, chini ya Watangazaji wake Sam Sasali na James Temu. Tazama Live hapa

Rais Dkt. John Magufuli ametumia hotuba yake leo Jumamosi, Desemba 14, 2019 wakati wa mapokezi ya Ndege aina ya Bombardier Q400 ambayo ilizuiliwa Canada kabla ya kuachiwa kuwatoa wasiwasi Wahudumu wa Ndege kuwa wao ni wazuri na waendelee kuchapa kazi, utakumbuka Mbunge wa Kigoma Kusini,Husna Mwilima alisimama Bungeni na kudai Wahudumu hao hawana Mvuto. Mapokezi […]

Mkali wa ngoma ya Gusanisha, kutoka kundi la WEUSI, George Mdeme “G NAKO” amefunguka kuwa mama yake mzazi amekuwa akimsisitiza kusali. Msanii huyo amezungumza jana Ijumaa, Desemba 13, 2019 kwenye mahojiano kupitia kipindi cha XXL cha Clouds FM. Tazama video akizungumza.

Kupitia kipindi cha Leo Tena cha Clouds FM, siku ya Ijumaa, Desemba 13, 2019, Staa wa Bongo Fleva, AliKiba alizungumza kuhusu kuongeza mke wa pili. Amezungumza baada ya kuulizwa na Mtangazaji wa kipindi hicho, Husna Abdul, kama kuna uwezekano wa yeye kuoa mke wa pili. Tazama video uone alivyojibu.

Mwanamuziki wa muziki wa Reggae, Ras Gwandumi ambaye amendika historia baada kuwa msanii wa pekee wa muziki huo kupafomu kwenye jukwaa la Tigo Fiesta mwaka 2019. Msanii huyo amefunguka sababu za kusimama kufanya muziki huo kwa muda wa miaka miwili. Amezungumza hao kupitia kipindi cha Clouds 360 cha Clouds Tv siku ya jana Ijumaa Desemba […]

Msanii wa muziki wa Hip Hop, Duke Gervalius ‘Stereo’ amewachana wasanii wa muziki huo kutoka kundi la Rostam, Roma na Stamina na kuwaambia kuwa waache kuogopa na kutuma watu ili wawatukane kwenye nyimbo kwani huo ni udhaifu. Ameyazungumza hayo kupitia kipindi cha Social Buzz cha Clouds TV, Tazama VIDEO hapo juu.

Msanii wa Bongo Fleva, Karen G. Habash ‘’Malkia Karen’’ amefunguka kuwa anapenda sana mapenzi kwa sababu umri wake unaruhusu na ndio sababu anapenda sana kuimba mapenzi. Ameyazungumza hayo leo Ijumaa, Desemba 13, 2019 alipokuwa akitambulisha ngoma yake mpya iitwayo Tabu katika mahojiano kupitia kipindi cha Clouds 360 cha Clouds TV. ‘’Wimbo wangu mpya wa Tabu […]

Staa wa Bongo Fleva, AliKiba leo Ijumaa, Desemba 13, 2019 yupo Live kupitia kipindi cha Leo Tena cha Clouds FM akiitambusha ngoma mpya aliyoifanya na msanii kutoka kwenye lebo yake ya Kings Music, Killy inaitwa Gubu.


Current track

Title

Artist

Background