Uncategorized

Page: 2

Sio rahisi kuwaona watoto wa Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo, (CHADEMA) kwenye mikutano mbalimbali ya chama hicho, lakini imekuwa tofauti kwenye mkutano mkuu wa chama hicho uliofanyika jana Jumatano Desemba 18, 2019 katika ukumbi wa Mlimani City, Mwenge, jijini Dar es Salaam. Watoto hao watatu ambao walitambulishwa na baba yao, walikuwa kati ya […]

Klabu ya Azam imetoa taarifa leo Alhamis, Desemba 19, 2019 ya kumuuza Mshambuliaji wake Ditram Nchimbi, aliyekuwa kwa mkopo Polisi Tanzania kwa Klabu ya Yanga. Taarifa hiyo imetolewa kupitia akaunti ya Instagram ya Klabu hiyo imesema uongozi wa Azam FC ulikuwa na nia ya kumuongezea mkataba Nchimbi, lakini mchezaji huyo aliuomba uongozi kutoongeza mkataba mpya […]

WINGA machachari, Idd Kipagwile ameongeza mkataba mpya wa miaka miwili kuendelea kuitumikia klabu ya Azam FC, mabingwa wa Kombe la Shiriksho la Soka Tanzania (TFF), maarufu kama Azam Sports Federation Cup (ASFC). Kipagwile anayesifika kwa mashuti, kuchachafya mabeki na kasi yake uwanjani, atabakia kutoa huduma yake ndani ya viunga vya Azam Complex hadi mwaka 2022. […]

Freeman Mbowe amefanikiwa kutetea nafasi ya Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasi na Maendeleo Taifa kwa kupata ushindi wa asilimia 93.5. Mbowe aliyepata kura 886 amemshinda Cecil Mwambe aliyepata kura 59 pekee sawa na asilimia 6.2 huku kura 3 zikitajwa kuharibika. Tundu Lissu ameshinda nafasi ya Makamu Mwenyekiti Taifa (Bara) baada ya kupata kura 930 sawa […]

Afisa Mhamasishaji wa Yanga SC, Antonio Nugaz (kushoto) akimkabidhi jezi ya klabu hiyo, beki Mghana Lamine Moro baada ya mchezaji huyo kukubali kubaki kuendelea kuitumikia klabu hiyo kufuatia awali kutaka kuondoka kwa sababu ya kutolipwa mishahara kwa miezi miwili.

Mshindi wa tuzo ya Malkia wa Nguvu 2017, kupitia kipengele cha biashara, Latifa Mohammed amesema tuzo hiyo imempa mwanga na kuweza kumfungulia milango mbalimbali katika biashara zake. Amesema hayo leo Jumanne Desemba 17, 2019 kupitia kipindi cha Clouds 360 cha Clouds Tv. “Baada ya kupata tuzo ya Malkia wa Nguvu, iliweza kunifungulia milango mingi sana, […]

Mkali wa Bongo Fleva, Shariff Thabeet “Darassa” amefunguka sababu ya kufanya ngoma mpya iitwayo Yumba na Staa wa muziki huo, Rajab Abdul “Harmonize” Ngoma hiyo aliitambusha siku ya Jumatatu Desemba 16, 2019 kwenye kipindi cha XXL cha Clouds FM. Tazama hapa akielezea.

Staa wa Bongo Fleva, Rajab Abdul Kahali “Harmonize” amewashukuru mashabiki wake wa mjini Shinyanga waliojitokeza kwa wingi kwenye shoo yake iliyofanyika Jumamosi iliyopita Desemba 14, 2019 kwenye uwanja wa Kambarage. Msikilize HARMONIZE akiizungumzia shoo yake mapema leo Jumatatu Desemba 16, 2019 kupitia kipindi cha XXL cha Clouds FM.

Msanii wa Bongo Fleva na Mwanamitindo, Hamisa Mobeto amefunguka kuhusu gari alilojizawadia kwenye sherehe ya kuzaliwa kwake na maoni ya watu mbalimbali kuhusu gari hilo. Tazama video akizungumza kwenye mahojiano maalum aliyoyafanya leo Jumatatu, Desemba 16, 2019 kupitia kipindi cha Social Buzz cha Clouds Tv.

Leo Jumatatu, Desemba 16, 2019, Chawa wa Baba, Mussa Hussein ametoa tamko kutoka kwa Baba kupitia kipindi cha XXL cha Clouds FM, kuhusu tamasha la Christmas Colors litakalofanyika kwenye viwanja vya Mlimani City, Mwenge, Jijini Dar es Salaam, siku ya Jumapili ijayo Desemba 22, 2019. Tazama video.


Current track

Title

Artist

Background