Author: Clouds Reporter

Staa wa Bongo Fleva, Ali Salehe Kiba, “AliKiba” amefunguka sababu za kutofanya kazi tena na aliyekuwa “producer” wake John Vomo Shariza “Man Water”. Tazama video akizungumza.

Kila msanii ana vigezo vyake vya kufanya kolabo na msanii mwingine, Mkali wa Bongo Fleva, Omari Mwanga ‘Marioo’ ametaja sifa za msanii anayefanya naye kolabo.   “Nimefanya kolabo nyingi kama tano hivi, zinafanya poa sana, kikubwa nafanya kazi na msanii yoyote mwenye mipango inayoeleweka, na kazi yake yenyewe iwe nzuri na yenye ubora” Alisema Marioo […]

Baada ya kuteketea kwa moto Novemba 21, 2017 hatimaye studio ya Clouds TV imefanyiwa marekebisho na kukamilika. Leo siku ya Jumatatu, January 6 2020 kipindi cha Clouds 360 kimeruka Live kwenye studio hizo. Tazama iliyokuwa.

Waziri Mstaafu wa wizara ya Waziri wa Nchi, Ofisi Ya Rais na Mbunge wa jimbo la Rungwe, Mark James Mwandosya na mkewe Mama Lucy Marunga Akiiki leo wametimiza miaka 48 ya ndoa yao. Enzi hizo za ujana wao, hii picha ilipingwa mwaka 1972 huko Birmingham UK. Kupitia ukurasa wake wa Tweeter hivi ndivyo alivyoandika.

Mlinda mlango wa Taifa Stars na klabu ya KMC, Juma Kaseja amefanyiwa upasuaji wa goti jana Disemba 28 kufuatia majeraha aliyoyapata hivi karibuni. Kaseja alijitonesha majeraha hayo katika kambi ya timu ya Tanzania Bara ‘Kilimanjaro Stars’ iliyokuwa ikijiandaa kwa michuano ya CECAFA Senior Challenge Cup mapema mwezi Disemba, ambapo aliachwa kwa matibabu zaidi. Uongozi wa […]

Kuelekea Sikukuu ya Christmas, Clouds Media Group imeandaa tamasha la wasanii wa nyimbo za Injili linalofanyika leo Jumapili Desemba 22, 2019 katika viwanja vya Mlimani City, Mwenge jijini Dar es Salaam. Tazama picha mbalimbali kinachoendelea.

Msanii wa Bongo Fleva, Zuwena Mohammed ‘Shilole’ ameweka wazi umri wake ikiwa leo ameadhimisha siku yake ya kuzaliwa, amesema ana miaka 32. Akizungumza kupitia kipindi cha Leo Tena cha Clouds FM, leo Ijumaa Desemba 20, 2019 amesema huo ndio umri wake na cheti chochote kitakachoonekana kwenye mitandao ya kijamii wasikiamini kwa sababu hata cheti kinachonesha […]

Mshambuliaji raia wa Ivory Coast Yikpe Gnamien (kulia) tayari amewasili leo Ijumaa Desemba 20, 2019  jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kukamilisha usajili wa kujiunga na klabu ya Yanga. Gnamien amepokelewa na Mkurugenzi wa Mashindano Yanga Bw. Thabith Kandirro (kushoto) asubuhi ya leo uwanja wa ndege wa Mwl. Julius K. Nyerere.    

Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Reli Nchini, (TRC) Masanja Kadogosa amesema kipaumbele cha kwanza kwenye usafiri wa treni ni usalama wa abiria na mali zao wakiwa ndani ya treni. Amezungumza hayo leo Ijumaa, Desemba 20, 2019 kwenye mahojiano maalum kupitia kipindi cha Clouds 360 cha Clouds TV. “Usalama kwenye Treni ni Kipaumbele chetu cha kwanza, […]

Kufuatia video iliyosambaa mtandaoni ikimuonyesha Rapa Emmanuel Elibariki ‘Nay Wa Mitego’’ akiwa na aliyekuwa mpenzi wake mwigizaji, Shamsa Ford, Rapa huyo amekiri kuwa video hiyo imemletea shida kwenye mahusiano yake ya sasa. Tazama video akizungumza.  


Current track

Title

Artist

Background