Zlatan Ajiweka Kundi Moja na Ronaldinho
Written by Tariq on February 4, 2023
“Wachezaji mahiri wanapenda kufanya mazoezi na mpira, Mimi na Ronaldinho ndio mabingwa kwenye hili, tunaweza kufanya lolote ili kuepuka kukimbia , tupo kwa ajili ya mpira wa miguu sio kukimbia” – Zlatan
Ni kweli Ibra ana udambu udambu kama anavyojinasibisha na Dinho ? 😁
@cloudssports
#7bisha