Mwijaku Aikataa Simba Mbele ya Rais wa Yanga
Written by Tariq on February 20, 2023
Hersi – “Mwenyezi Mungu ametuhusia kuishi kama ndege , unaamka asubuhi unaenda kutafuta ridhiki unarudi ukiwa na ridhki , Mwijaku ni mtafuta ridhiki
Mwijaku – “Mimi ni Mwananchi ,ukizaliwa tu ndani ya Nchi hii wewe ni Yanga, Ghalib (GSM ) aliniambia ni njaa inanisumbua”
Da Huu – Kwa hiyo wewe ni Yanga ?
Mwijaku – “Eenh kwani hujamsikia @alikamwe ? Ukizakiwa Tanzania tu wewe ni Yanga”
Namna mjadala ulivyokuwa kwenye LeoTena Mwijaku akiikana hadharani Simba na kusema yeye ni Mwananchi 😁
Cc @caamil_88 @mwijaku @dahuuofficial