Kocha Mkuu Simba Apania Ubingwa Kimataifa
Written by Tariq on February 17, 2023
” Tunawaheshimu wapinzani wetu , Simba ni Timu kubwa na tumejiandaa vyema ili kupata ushindi, kupambania Nusu fainali na bila kipingamizi tunaweza kuwa mabingwa”
“Raja wanahistoria kubwa Afrika na Duniani kote nawajua vyema , lakini mpira ni matukio ya hapo kwa hapo (dakika 90′), mpango wangu ni kucheza vuzuri kwa sababu tunavipaji na Sisi kama Timu kubwa tuna jambo moja tu , kupata Ushindi “- Robertinho
Kocha mkuu wa Simba SC akizungumzia maandalizi yao na mipango yao kama Timu , kuelekea mchezo wa kesho wa Klabu bingwa Afrika #CAFCL dhidi ya Raja Club Athletic ya Morocco.
@cloudssports
#7bisha #CloudssdigitalUpdates