Ronaldo, Neymar na Tevez Wamezaliwa Siku Moja
Written by Tariq on February 5, 2023
Tuambie tarehe yako ya kuzaliwa una-share na mtu gani maarufu ikiwa leo ni kumbukumbu ya kuzaliwa kwa Wachezaji watatu ambao ni sababu ya Vijana wengi kuupenda mpira zama hizi.
Cristiano Ronaldo (Ureno) miaka 38 , magoli 820 kwenye mechi 1,148
Neymar (Brazil) miaka 31, magoli 369 mechi 613
Carlos Tevez (Argentina ) miaka 39 akiwa na magoli 268 mechi 719
#7bisha