Umuhimu Wa Bodi Watajwa
Written by Tariq on January 6, 2023
“Bodi ukiitumia vizuri inaweza kukusaidia wewe kuliko unavyodhani, unapoteua bodi usifanye kama fashion teua watu ambao wana-maono, wanajua biashara kusudi ukikaa nao hata muda mfupi basi wanakushauri
Bodi huwa haina watu wengi hivyo ni wewe kuamua unakuwa na watu wangapi ila wengine wanakuwa sita au saba labda bodi za mashirika makubwa sana unakuta wapo kumi” Ntangeki Nshala Mwandishi wa kitabu cga Novice