Kaka Na Dada Walipoteana Tangu 1997 Wamekutana I Picha Na Barua Vyathibitisha | Manara & Ahmed

Written by on August 10, 2022

Kama haukuwa LIVE kwenye Radio, mzigo upo LIVE on Youtube, Mtanzania Abdillah mwenye makazi yake nchini Kenya aliyeamua kurejea nyumbani kuwatafuta ndugu zake waliopotezana kwa zaidi ya miaka 25.  #LeoTena

 


Current track

Title

Artist