Daily Archives: December 2, 2019

MIAKA 20 STUDIO TATU

Ikiwa leo Desemba 2, 2019 Clouds FM imetimiza miaka 20 tangu kuanzishwa kwake, redio hiyo imehama studio tatu tofauti katika ofisi yake ya makao makuu iliyopo Mikocheni, jijini Dar es Salaam. Hivi karibuni redio hiyo imehamia kwenye studio…

MIAKA 20 YA CLOUDS

Tarehe 2 ya Disemba 1999, kwenye chumba kidogo sana, tukawasha mitambo. Tanzania ikaitika, safari ikaanza. Haikuwa rahisi, magumu tumepita: tumeungua moto mara 3 sio moja, tumepoteza majemedari wengi tulioanza nao safari, na mengine kibao. Katika yote, Tunamshukuru Mungu,…